.

.

.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

JKT NDANI YA SABA SABA





JKT ndiko sehemu pekee unayoweza kupata viti imara na vya bei poa cheki hizo picha za kasha na boxer kwa 3500 tu halafu kitu ni pamba pure kutoka shinyanga kinatengenezwa hapa hapa Tanzania ..nje ya banda utapata kuku wa kuwapelekea watoto nyumbani wakachinje au kama unajali unaweza ukachukua na banda kabisa pale pale JKT..
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...