.

.

.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

snoop dog dog akamatwa na dawa za kulevya norway


rapper snoop amekamatwa na gram 8 za madawa ya kulevya (marijuana) kwenye uwanja wa ndege wa Kjevic Airport in Kristiansand  huko norway.pia alikuwa na kiasi kikubwa cha pesa kuliko kile kinachoruhuhusiwa kusafiri nacho kwenye ndege..hii ni mara ya pili kwa rapa huyu kukamatwa na madawa ya kulevya ndani ya muda wa mwaka mmoja.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...