.

.

.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

MAJAJI WA EPIC NATION BONGO STAR SEARCH WALIPOTEMBELEA JENGO LA ZANTEL NDANI YA MAONYESHO YA SABA SABA JANA

MASTER J AKIPIGA PICHA MBELE YA TANGAZO LAKE LA EPIQ MOTO.


 MADAM RITA AKIWASALIMIA WAFANYAKAZI WA ZANTEL

 MADAM RITA AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL SABASABA
MADAM RITA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI


 MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI.
MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITA, SALAMA J NA MASTER J WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL





Leo kwenye banda la Zantel Saba Saba ambapo Majaji wa EBSS walipata nafasi ya kutembelea kujionea maonyesho yanayoendelea ikiwa  ni pamoja na kukutana na waandishi wa habari kuelezea waliyoshuhudia katika usaili wa mikoa mitatu waliyopitia ya Dodoma , Zanzibar na Lindi . Pia waliweza kutoa sifa wanazoziangalia katika kutafuta vipaji vya muziki pamoja na kueleza eneo la usahili unaofuata wiki hii plae mjini Arusha sehemu inayoitwa Triple A.  
Pamoja na hayo, Mkuu wa Masoko kutoka Zantel bwana . Deepak K. Gupta na Mkuu wa mawasiliano Awaichi Mawalla walipata nafasi ya kuelezea njia mpya ambayo wenye vipaji vya kuimba lakini wakakosa nafasi ya kufanya usaili wanaweza kufanya usaili kupitia simu zao za mkononi. Mfumo huu ni wa sauti ambapo mshiriki anapewa nafasi ya kuimba nyimbo aitakayo kwa muda usiiozidi dakika moja na kuweza kupata nafasi ya kusikilizwa na Majaji.













Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...