Zaidi ya washiriki 750 walikutana na majaji na watu
wasiopungua 1800 walijitokeza eneo la usaili Arusha.Usaili unaendelea katika mikoa mingine ambapo wiki ijayo usaili
utafanyika mkoani Mwanza tarehe 14 na 15 za mwezi huu wa Agosti..funguka na epic nation bongo star search.