MADAM RITA NA MASTER J WAKIJADILIANA KABLA YA KUMPA MSHIRIKI JIBU LA MWISHO.
HUYU NI AMINA S MARIAM AKISIMAMA MBELE YA MAJAJI AKIWA NA MTOTO WAKE TAYARI KWA KUFANYA USAILI WAKE.
WASHIRIKI WALIOSHINDWA KUWAONA MAJAJI LEO WAKIELEKEA MAKWAO SAA 12 JIONI ILI WAJIANDAE KURUDI KESHO.