JKT ndiko sehemu pekee unayoweza kupata viti imara na vya
bei poa cheki hizo picha za kasha na boxer kwa 3500 tu halafu kitu ni pamba
pure kutoka shinyanga kinatengenezwa hapa hapa Tanzania ..nje ya banda utapata
kuku wa kuwapelekea watoto nyumbani wakachinje au kama unajali unaweza
ukachukua na banda kabisa pale pale JKT..