WASHIRIKI WAKIJISAJILI....
HUYU NI OMARI SHAABANI AKIFANYA USAJILI. TULIKUTANA NAYE ZANZIBAR LAKINI ALIISHIA MZUNGUKO WA KWANZA, WIKI ILIOPITA TULIKUTAA NAYE LINDI ALIISHIA MZUNGUKO WA PILI. SASA AMEKUJA ARUSHA KUJARIBU BAHATI YAKE.MSHIRIKI AKIONYESHA UFUNDI WAKE WA KIPA GITA
HAWA NI WASICHANA WA KWANZA KUFIKA KWENYE USAILI. KUTOKA KUSHOTO: GLADIS MASSAWE (MIAKA 21), PRACIDIA CHARLES (MIAKA 18) NA HAPPINESS MSANGI (MIAKA 19).
WASHIRIKI WAKIELEKEA KWENYE ENEO LA KUSUBIRI BAADA YA KUSIKILIZA MAELEKEZO.
HUYU NI SARAH MBWAMBO, MIAKA 24, HUU NI MSIMU WATATU YEYE
KUSHIRIKI SHINDANO HILI.