SK NETWORK ,HOME OF FASHION,NYUMBA KUBWA YA FASHION EAST AFRIKA.,SEX,SWEET,HOT,FREESTYLE,ALL COLOUR,95%,VIWALO,WAREMBO,SUPERSTAR,WAZURI TU.
madaktari kugoma nchi zimaa
Madaktari wamepanga kugoma kufanya kazi ifikapo juni 23 kwa kuwa serekali haijatimiza matakwa yao yaliyosababisha wagome mgomo wa kwanza ...pia wamesisitiza kuwa wanagoma kwa masilahi ya umma na wananchi kwa ujumla ili waweze kupata matibabu bora na yenye uhakika tofauti na sasa..