.

.

.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

meneja wa meli iliyopata ajali akamatwa


meneja wa meli ya MV SKAGIT  ndugu omari hassan Mnkhon alishikiliwa na polisi mpaka jana 10:30 akihojiwa kuhusu kasoro mbalimbali zilizobainika kutokea katika utunzaji wa kumbukumbu wa meli yake iliyopata ajili hapo juzi na kusababasha vifo vya watu 63 na wengine bado hawajulikani walipo.

katika hatua nyingine serekali ya zanzibar ilitangaza siku tatu za maombolezo kutokana na msiba mzito uliolikuba taifa la tanzania.(kwa hisani ya mwananchi)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...